Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na Rais Yoweri Kaguta Museveni wakati wa mazishi ya kiongozi wa Ethiopia marehemu Meles Zenawi yaliyofanyika leo jijini Addis Ababa |
Jeneza la aliyekuwa Waziri mkuu wa Ethiopia Marehemu Meles Zenawi likiletwa katika viwanja vya Addis kwa ajili ya maombolezo ya kitaifa kabla ya mazishi yake yaliyofanyika leo |
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiteta jambo na Rais Jackob Zuma wa Afrika ya kusini wakati wa mazishi ya aliyekuwa Waziri mkuu wa Ethiopia Meles Zenawi jijini Addis Ababa leo mchana |
Askari wa kike akilia kwa uchungu |
No comments:
Post a Comment