Tuesday, December 25, 2012

CHRISTMAS PARTY NEW YORK : PICHA NA MATUKIO WALIONG'ARA

Warembo walikuwa full shwangwa kwenye Christmas eve house party New York City
Wajeda ndani ya mjengo wakisakata rumba....
Ny Ebra the New Yorker in house akiwa na kisu pembeni kabwa kuingia ukumbini habari ya mjini ndio hii....!! 
Hapo sasa ukodak moment si mchezo kila mtu na pozi lake aminia wadau
Grown up Africa super stars ukodak moment
 Warembo na picha ya kumbukumbu

 Hapo sasa unaonyeshwa kuwa mambo iko huko......ndani ya black is beauty

No comments:

Post a Comment