Shughuli za kuuaga mwili wa marehemu zitafanyika Jumamosi Desemba 22, 2012 kuanzia saa tano asubuhi (11am-3pm) mpaka saa tisa alasiri ambapo 11am kutoa heshima za mwisho, 12noon -1pm ibada maalum ya kumwombea marehemu na baada ya hapo kutakuwa na nafasi nyingine ya kutoa heshima za mwisho kwa wale watakao kuwa wamechelewa.
Bado tunaendelea kukusanya michango kupitia account ya mwanae marehemu bwana
Richard Mwandemani maarufu kama DJ Rich Maka
Bank Of America Routing number 011000138 account #004643403251
Kwa habari zaidi waweza kuwasiliana na
DJ Rich Maka mwenyewe
413-262-0400,

Isaac Kibodya
413-219-1153

au Kawala Mgawe
413-330-1609

Kumradhi! Shughuli hizi zitafanyika Bryon Keenan Funeral Home,
1858 Allen Street, Springfield, Ma 01118
Tunatanguliza shukran zetu za dhati
No comments:
Post a Comment