Wanajumuia,
Misa ya Mama mzazi wa George Kasapira ( Mama Mary Sembe) itafanyika
Jumamosi (01/05/2013) muda utakuwa ni saa kumi na nusu jioni (10:30).
Misa itafanyika katika ukumbi wa Safari mpya uliopo,
7601 Des Moss,Houston,77036.
Kama kawaida yetu wanajumuia,kina Baba/Kaka tunaombwa tulete vinywaji,
na wakina Mama/ Dada watuandalie vyakula.
Kwa niaba
ya familia ya George Kasapira,
wanatoa shukurani nyingi kwa kuweza kuwa
nao wakati wote
katika kipindi hiki kigumu.
Mungu awajalieni nyote.
Wenu katika jumuia,
Juma Maswanya.
No comments:
Post a Comment