Nyumba
inavyoonekana kwa nje na hawa ni moja ya wageni kutoka Tanzania
waliishi hapa kwa muda wa wiki 3.
Nyumba ina vyumba
vitatu vya kulala second floor na chini ni living room na jiko. Kwa
wageni wanaotaka kutembelea
New York na kukaa kuanzia wiki hii
inawahusu na hasa wale wa (Internship).
Kwa mawasiliano zaidi
wasiliana na Ny Ebra.
|
No comments:
Post a Comment