Tuesday, February 5, 2013

Cameroon wakiwa Dar leo tayari kupambana na Taifa StarsWachezaji wa timu ya soka ya taifa ya Cameroon wakiwa mazoezini 
Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam
Nahodha wa timu ya soka ya taifa ya Cameroon Pierre 
Wome akinyoosha viungo


Mchezaji wa timu ya soka ya taifa ya Cameroon, Tchami Herve

Mchezaji wa timu ya soka ya taifa ya Cameroon, Bendimo Henri
Mchezaji wa timu ya soka ya taifa ya Cameroon, Jean Paul Yoncha


source: http://bongostaz.blogspot.com/2013/02/cameroon-wakiipashia-stars-jioni-ya-leo.html

No comments:

Post a Comment