Sunday, February 10, 2013

Msiba Houston na Moshi - Tanzania

Ndugu wanajumuia,

Mwanajumuia mwenzetu Onesmo Fue amefiwa na baba yake mzazi 
mzee Elibariki Fue Mbwambo
Marehemu alipatwa na mauti akiwa nyumbani kwake Moshi, 
Tanzania baada ya kuugua kwa muda mfupi. 
Mfiwa na familia yake wanaishi  
2002 S. Mason Rd. Apt 723, Katy. TX 77450.
Namba ya simu ya Fue ni 832-549-1853. 

Tafadhali ungana na Watanzania wenzako kuifariji familia ya marehemu 
katika kipindi hiki kigumu kwao. Tutaendelea kutoa taarifa zaidi kadri zitakavyo patikana.

Mungu amulaze mahali pema peponi baba yetu mzee  
Elibariki Fue Mbwambo

Amen.

Emmanuel .C. Emmanuel Katili

No comments:

Post a Comment