Mh.Balozi Ramadhan Mwinyi - Mgeni rasmi kwenye sherehe za Muungano |
Katibu wa Jumuiya ya Watanzania New York Bw.Shaban Mseba akisoma risala katika sherehe hizo za Muungano |
Mwenyekiti wa jumuiya Hajji Khamis akiongea machache mbele ya
watanzania waliojitokaza katika sherehe hizo zilizofanyika New York katika kitongoji cha New Rochelle |
Dr. Alec Chemponda alikuwa nae kama anavyoonekana katika picha akiongea machache juu ya jinsi gani anavyoujua Muungano wa Tanganyika na Zanzibar. |
Mama Ashura Duale nae anaujua sana Muungano wa Tanganyika na Zanzibar
na alikuwa mmoja ya washuhuda wa uchanganyaji mchanga wa pande zote mbili za Tanganyika na Zanzibar |
Ukodak wa pamoja Dr Chemponda (kushoto), Mama Ashura (katikati)akifuatiwa na mke wa balozi wakiwa na Mh. Balozi Mwinyi |
No comments:
Post a Comment