Wednesday, June 19, 2013

Misa Takatifu ya kumuaga Jerome Mpefo yafanyika Houston

Wanajumuiya wa TZ- Houston siku ya jana (Jumanne 18/06/2013) walifanya Misa ya kumuaga Marehemu Jerome Mpefo katka kanisa la Mt.Cyril wa Alexandria. Misa iliongozwa na Padri Avitus Rukuratwa Kiiguta kutoka Parokia ya Mt.John de la Salle, Chicago. Mwili wa Marehemu Jerome unatarajiwa kusafirishwa kwenda Tanzania mwishoni mwa wiki.

Mke wa Marehemu Jerome, Clara Mpefo 

Padri Kiiguta kutoka Jimbo la Chicago akiendesha Misa Takatifu 

Bw.Majeshi, mdogo wa Marehemu Jerome

Dada Stellah

Bw,Emmanuel Katili rafiki wa karibu wa Marehemu

Familia ikiuaga mwili wa Marehemu Jerome

Kaka Domino, aliongoza utaratibu mzima wa misa

Familia wakati wa Misa

Mwalimu Maswanya akitoa heshima 




Bw.Eladius akisoma somo ka kwanza



Bw.Fue O. Fue

Dada Mage akisoma maombi


















































No comments:

Post a Comment