Sunday, June 30, 2013

Picha ya Leo : Huyu ndiyo Matonya wa New York City

Omba omba huyu alikutwa na ukodak akiomba kwa style ya kulala chini akiwa
 underground ya kituo cha Subway maeneo ya Columbus Circle New York City. 
Pembeni ana chupa ya maji na viatu vyake.

No comments:

Post a Comment