Sunday, July 14, 2013

CHADEMA yashinda Viti vya Udiwani Arusha



CHADEMA imeshinda Viti vya  kata zote 4 za Mji wa Arusha.

Matokeo ni kama ifuatavyo;

Kata ya  
THEMI
Kata ya 
KIMANDOLU
Kata ya 
KALOLENI
Kata ya 
ELERAI
CHADEMA 678
CCM 326
CUF 313


CHADEMA 2665
CCM 1169

CHADEMA 1019
CCM 389
CUF 169

CHADEMA 1715
CCM 1239
CUF 213


No comments:

Post a Comment