Friday, September 6, 2013

Msiba Houston, Texas

Kwa niaba ya Familia ya Mzee Raymundo Mponda (Babu), inasikitika kutangaza kifo cha ghafla cha kijana  wao mpendwa, Clement Mponda, kilichotokea hapa Houston, Texas. Msiba upo kwa Baba mzazi wa marehemu.

kwa taarifa zaidi za mipango ya mazishi, wafiwa wanapatikana kwa address hii;

600 Nottingham Oaks Trail Apt 302
Houston, Texas, 77079.

Simu no.(832 343 1144)

No comments:

Post a Comment