Saturday, September 28, 2013

Naibu Katibu Mkuu wa CCM, Mwigulu Nchemba afungua rasmi Tawi la CCM-Texas

Mh.Mwigulu akikata utepe kama ishara ya kuzindua rasmi tawi la CCM - Texas


Mh.Mwigulu akiwa na Mzee Rajab Luhwavi
Mwenyekiti wa CCM-Texas, Bw.Makangula (kushoto) akiwa na Mwenyekiti wa Jumuiya ya Watanzania Bw.Simba
Msaidizi wa Rais katika masuala ya siasa, Bw. Rajab Luhwavi 


Frank Mutafungwa na Novatus Simba


Mwenyekiti wa Jumuiya ya Watanzania Houston, Bw.Simba

Bw.Kitogo akijadiliana na Dada Amina Lesso

Wana-CCMMwenyekiti wa CCM-Texas Bw.Simon Makangula (kushoto) akiwa na Katibu Mkuu wake Bw.Abdallah Nyangassa 

Bw.Arip (kushoto) akiwa na Bw.Ligate


Mzee Tenende akitoa hoja


No comments:

Post a Comment