Friday, September 13, 2013

Ndugu Wanajumuiya;

Ifuatayo ni ratiba ya mazishi ya Mwanajumuiya mwenzetu Clement Mponda.

Marehemu Clement Mponda


SIKU YA MAZISHI; JUMAMOSI SEPTEMBER , 14-2013 HAPA HOUSTON, TEXAS.

Kuaga mwili 
kuanzia saa 11:00am to 12 noon. At Bereford Funeral Home (Harwin)
13501 Alief Clodine Rd (Harwin Dr) , Houston, Texas 77082

Misa 
kuanzia saa 12 noon  ( at funeral home see address above- Alief Clodine Rd-Harwin.
13501 Alief Clodine Rd (Harwin Dr), Houston, Texas 77082

Msafara wa mazishi kwenda makaburini ( Beltway 8 south @ Cullen Blvd) Pearland.
Houston Memorial Gardens Inc. Cemetery (makaburini), 2426 Cullen Blvd, Pearland, TX 77581.

Baada ya mazishi tutaelekea ukumbini kwa Matanga/Hitima – 5.30pm
Ukumbi wa - Madison Park Apartments 
Address: 9801 Meadowglen Ln, Houston, TX 77042

Kama kawaida yetu tunaomba wakina Baba mje na Vinywaji, wakina Mama Vyakula.

No comments:

Post a Comment