Sunday, September 29, 2013

Rais Kikwete akutana na viongozi wapya wa NYTC jijini New York

Juu na chini Mh. Rais Jakaya Kikwete akiingia sehemu iliyokuwa imeandaliwa kwa ajili ya
kukutana na viongozi wa NYTC, Rais alipata fulsa ya kukutana na viongozi wapya
wa Jumuiya ya watanzania New York, Viongozi hao walichaguliwa hivi karibuni na kuongea
machache juu ya mstakabali wa maendeleo ya nchi ya Tanzania.

Mh.Rais akisalimiana na Mchungaji Mama Butiku 
Naibu Katibu  wa Jumuiya, Dr.Mariam akisalimia na Rais Kikwete

Watanzania wakimsikiliza Mh.Kikwete alipokuwa anaongea. Kushoto kwake ni
Balozi Mwinyi na Katibu wa Jumuiya New York Bw.Mhella
Kikao kikiendelea
Maswali na Majibu
Mheshimiwa Rais akipata picha na Balozi Manongi (kushoto) na Balozi MwinyiNo comments:

Post a Comment