Saturday, September 14, 2013

TZ-Wichita yaichapa Houston 6-3 kwa taabu

Ikiwa na wachezaji 7 vijana kutoka nchi za Nigeria na Cameroon jioni ya leo katika Viwanja vya Stryker mjini Wichita,timu ya watanzania waishio Wichita wamewafunga wenzao kutoka Houston kwama bao ya 6-3. Houston ilipata mabao yake kupitia kwa Bitebo na Ally Giroud Mtumwa aliyepiga mabao ya mawili. Kama si uhodari wa kipa wa Wichita, Peter aliyeokoa michomo kama mitano ya wazi katika kipindi cha kwanza hali ingekuwa tofauti. Mabao ya Wichita yalifungwa na Shaali (1), na mengine yalifungwa na Vijana hao waki-west amabo hatukuweza kuyapata majina yaoNo comments:

Post a Comment