Saturday, October 19, 2013

Lunyamila aelezea mtanange wa watani wa jadi

Mchezaji aliyewika enzi hizo kwenye Club ya Yanga na Simba ikiwemo timu ya Taifa,
 Edibily Lunyamila anaripoti kuhusu mtanange wa Yanga na Simba unaosubiriwa 
kwa hamu na wapenzi wote kabumbu Watanzania wa ndani na nje ya nchi yetu. 
Hii hapa ripoti ya Lunyamila kuhusiana na mtanange huo

No comments:

Post a Comment