Wednesday, October 16, 2013

Sherehe ya EID yafana DMV

Imam Hussein Ibrahim akiongoza swala kwenye sherehe y Eid iliyofanyika Jumanne Oct 15, 2013 DMV na kuhudhuriwa Watanzania wa DMV 
Waumini wa dini ya Kiislam wakiswali kwenye sherehe ya Eid iliyofanyika Wheaton, Maryland na kuhudhuriwa na Watanzania na marafiki zao waishio DMV na vitongoji wa jirani
Mwenyekiti wa Jumuiya ya Kiislam DMV (TAMCO) Bwn. Yusuf(kati) akiongea jambo kwenye sherehe ya Eid iliyofanyika Wheaton, Maryland Jumanne Oct 15, 2013 wengine kwenye picha ni Imam Hussein Ibrahim (kushoto) na mjumbe wa bodi ya udhamini ya TAMCO, Bwn. Seif Ameir
Kutoka kushoto ni Dkt. Hamza Mwamoyo, Jasmine Barnett, Raisi wa Jumuiya DMV bwn. Idd Sandaly na Mganga Muhombolage wakiwa meza kuu
Watanzania waliohudhuria sherehe ya Eid


Aunt Asha na mumewe.
Moza kutoa New York akiwa kwenye sherehe hiyo ya Eid iliyofanyika DMV Jumanne Oct 15, 2013
Watanzania waliohudhuria sherehe hiyo.
Watanzania na marafiki zao wakiwa kwenye sherehe ya Eid
Wakati wa chakula

Kwa picha zaidi bofya hapa

No comments:

Post a Comment