Wednesday, November 20, 2013

Kisomo cha kumuombea Marehemu Hawa Haji Kamanga kufanyika Houston jumamosi

Marehemu Hawa Haji Kamanga
Kutakuwa na Kisomo cha kumuombea marehemu HAWA HAJI KAMANGA siku ya Jumamosi ya tarehe 23 mwezi wa 11. Kisomo kitafanyika 7107 Crim Lilly Ct, Cypress TX 77433 saa kumi ya jioni (4pm).

Kama ilivyo kawaida yetu tuonaomba wakina mama/dada waje na vyakula na wakina baba/kaka vinywaji.RAMBIRAMBI
Rambirambi zinaweza kutolewa nyumbani kwa wafiwa au kwa kupitia account ifuatayo:

Haji Mkello

Bank of America Checking Account
AC# 5860 0947 7129Wafiwa wanapatikana kwa namba zifuatazo:

Haji 281 236 8379

Hizza 281 865 3709

Kaela 713 884 7950

No comments:

Post a Comment