Bi Lidya kama anavyoonekana katika picha hii akishangaa baada ya kukuta watu wamejaa ukumbini wakimwimbia happy birthday happy birthday |
Birthday Cake |
Bwana Waluye na mke wake wakiingia ukumbini |
Marafiki wakiwa ukumbini wakati Bi Lidya anaingia na mume wake
Bwana Waluye. Mambo yalikuwa bam bam kabisa ukumbini hapo. |
Marafiki wakimwimbia Bi Lidya ukumbini hapo |
No comments:
Post a Comment