Friday, November 29, 2013

New York ThanksGiving Party in Photos

 Dj Bilal akiwarusha kwenye party hiyo kama kawaida hakukaa mtu hapa kwa ngoma zake mchanganyiko 
Fundi akiwa na mama mwenye nyumba wake pongezi kwao kwa kufanikisha pati hiyo watu walifurahi kwa kula na kucheza. Hii siyo mala ya kwanza kufanya hivyo na ndiyo maana kila anavyotangaza kukutana kwake kila mtu anajua anachoenda kukipata ni kula kunywa mwanzo mwisho.
 Mambo yalikuwa kama hivi mwendo wa kunesa nesa tu mwanzo mwisho
 Ulikuwa usiku wa kupendeza na pongezi kwa brother Fundi kwa kufanikisha pati hii na watu wakajitokeza kwa wengi.
 kila mtu alikuwa busy
 Watanzania wa jiji la wasiyo lala New York ndiyo habari yenyewe
 Palikuwa hapatoshi kila mtu alipata kitu roho inapenda

 Mambo ndiyo kama hivi muziki hauna utu uzima uzuka ukikupanda mambo huwa kama hivi, Kwa taswira zaidi nenda soma zaidi




No comments:

Post a Comment