Wednesday, January 1, 2014

FUNGA MWAKA DMV

Baadhi ya uongozi wa Jumuiya ya DMV ukipata picha ya pamoja kwenye zulia jekundu kutoka kushoto ni Katibu wa Jumuiya Bwn. Amos Chereheni, Rais wa Jumuiya Bwn. Iddi Sandaly, Mtunza mahesabu, Bwn. Malasy na Makamu wa Rais wa Jumuiya Bwn. Raymond Abraham.
Rais wa Jumuiya Bwn. Idd Sandaly katika picha.
Rais wa Jumuiya Bwn. Iddi Sandaly akitoa salamu za mwaka mpya kwa Watanzania waliofika Capitol Heights, Maryland kushuhudia mkwsha wa mwaka mpya.
Afisa wa Ubalozi wa Tanzania nchini Marekani Bwn. Abbas Missana akitoa salamu za mwaka mpya kwa Watanzania DMV na marafiki zao kwa niaba ya Balozi wa Tanzania nchini Marekani Mhe. Liberata Mulamula.
Juu na chini ni watoto wa darasa la kiswahili wakishirikiana kuimba wimbo wa Taifa.
 Kutoka kushoto ni Amos Cherehani, Katibu wa Jumuiya, Idd Sandaly, Rais wa Jumuiya na Abbas Missana, Afisa Ubalozi wa Tanzania nchini Marekani wakitoa vyeti kwa wanajumuiya waliomstali wa mbele kujitolea kwa majukumu mbalimbali ya Jumuiya.

Juu na chini wanajumuiya wanaojitoa mhanga kwenye majukumu mbalimbali ya Jumuiya.
Juu na chini walimu wa darasa la kiswahili wakitunukiwa vyeti kwa juhudi zao za dhati za kufundisha darasa hilo DMV.
kwa picha zaidi bofya soma zaidi

akichukua cheki kwa niaba ya mwalimu mkuu wa darasa la kishwahili.
Juu na chini wadau wakichukua zawadi zao baada ya kushinda bahati nasibu ya papo kwa hapo.
washindi katika picha ya pamoja.

No comments:

Post a Comment