Thursday, February 6, 2014

Mar. Mama Theonestna aagwa na Wa-Tanzania wa New York

Watanzania wa New York wakiaga mwili wa mama Theonestina Rweyemamu, katika Camelot Funeral Home Mt Vernon NewYork siku ya jumatano tayari kwa maandalizi ya kusafirisha mwili huo nyumbani Bukoba Tanzania. 
Watoto wa marehemu Emmanuel na kaka yake Steven wakiwa na majonzi ya kuondokewa na mama yao mpendwa Theostina Rweyemamu. 
Watoto wa marehemu wakiwa wamekaa kwa majonzi 
Mama Kiswaga kutoka New Jersey akiongea 
Wake wa mabalozi wetu mama Manongi na mama Mwinyi walikuwepo pia kuungana na Watanzania wengine katika kuaaga mwili wa marehemu.
Katibu wa jumuiya ya Watanzania wa New York bwana Mhella akiongea kwa niaba ya jumuiya, kwa picha zaidi nenda chini.
Mmoja wa familia ya marehemu akiongea 
akiongea machache juu ya marehemu
Wafanyakazi wa ubalozi wa New York
Watoto wa marehemu


No comments:

Post a Comment