Sunday, March 16, 2014

Kisomo cha Mzee Mshare chafanyika Houston, TX

Jana kulifanyika kisomo cha mzee Mshare ( baba wa mwanajumuiya mwenzetu Himidy Mshare) ambaye alifariki dunia wiki chache zilizopita huko Dar es Salaam.Shughuli hiyo ilifanyika kwenye msikiti wa Hayes uliopo barabara ya Westheimer jijini Houston na kuongozwa na Ustaadhi Jadi Malumbo. 


Mfiwa Nd.Himidy kulia akibadilishana mawazo na Rahim Chomba 
Mjukuu wa marehemu Mzee Mshare , Ibra Himidy (wa pili kutoka kushoto) akiwa na watoto wenzake

Muda wa kisomo

Kutoka kushoto, Andrew, Ally, Himidy na Totoo
Ustaadh Jadi na Ndikumana
Photos courtesy of Abou Barnes

No comments:

Post a Comment