Ny Ebra akipakwa cake usoni na Farida kutoka CT, Birthday party hiyo ilifanyanyika
nyumbani kwa Ny Ebra na kurushwa moja kwa moja live stream na Vijimambiotv and Radio. Marafiki waliofika kwenye party hiyo walipata chakula vinywaji na muziki mzuri kutoka kwa (DJ Luke Joe) kutoka DC, DjLuke kwa upendo alionao kwa mdogo wake alisafiri kutoka DC hadi New York kwenda kusababisha nyumba ya machine.Ny Ebra anatanguliza shukran zake za thati kwa watu waliofanikisha party hii ni Seif Akida (Big brother), Deo Mhella, Sadik Ally, Na kwa upande wa akina dada ni Adella, Asha, Brenda na Flora. Shukrani kwa wote waliofika na show love na kwa wale walioshindwa kutokea Ny Ebra anawajari na kuwapenda daima. |
Ebra akiinua mikono kama ishara ya kutoa hug kwa watu wote waliofika kwenye party hiyo ni kama shukran kwa mapenzi yao kwake. |
Mahesabu ya kukata cake hayo kisu kikubwa utadhania panga ... |
Seif Akida pembeni akisimamia ukataji cake na upande wa kushoto ni Seif na Bob ni masuper star wa The Caltural Wars Movie inayotarajiwa kutoka muda wowote .... |
Dada wa Ny Ebra Adella akipeleka cake mezani |
Ebra akimlisha dada yake cake na pembeni anaeng'aa sharubu ni rafiki wa Ebra Arifah kutoka New Jersey |
No comments:
Post a Comment