Siku ya Muungano iliadhimishwa vyema jioni ya leo katika viwanja vya George Bush Park, Houston. Shughuli ya Muungano ilianza mida ya saa nne ya asubuhi kwa michezo ya watoto , muziki na vyakula mbalimbali.Mwenyekiti wa Jumuiya ta THC aliishukuru jumuiya ya wafanyabiashara (Ephrahim-Our Realtor, Mican Staffing, Faraji Insurance, Safina Tanzania) wa kitanzania ambao walidhamini sherehe hizo wakishirikiana na Safari Entertainment. Pata taswira mbalimbali:
Mwenyekiti wa Jumuiya Bi.Nuru Mazoro akiwa na Katibu Mwenezi Bw.Said Nusura
No comments:
Post a Comment