Monday, May 12, 2014

Digna Kullaya's Send-Off Party, Beltsville, Maryland

Digna Kullaya (kulia) akiingia ukumbini akiwa na mpambe wake ambaye pia ni dada yake kwenye sherehe ya kumuaga kama bi harusi mtarajiwa iliyofanyika siku ya Jumamosi May 10, 2014 Beltsville, Maryland.
Digna (kushoto) wakiwa meza kuu na mpambe wake.
Digna na mpambe wake wakati wa chakula.
Digna na mpambe wake wakati wa keki.
Mama.mzaa chema akijaziwa kapu lake.
Mama Digna akimzawadia mwanae Rozali ya dhahabu.
Olympia akiongoza wakina dada wengine kutoa nao zawadi yao kwa bi harusi mtarajiwa ambayo harusi yao itafanyika Dar es Salaam, Tanzaniam
Francis Kullaya akifungua Shampeni.
Wanandugu katika picha ya pamoja
Bi harusi mtarajiwa katika picha ya pamoja na wanakamati.
Bi harusi mtarajiwa akifungua muziki
kwa picha zaidi bofya soma zaidi

 

No comments:

Post a Comment