Sunday, October 19, 2014

DADDY'Z LIL GIRL



Ny Ebra akiwa na mtoto wake anaeitwa Fauzia kwenye graduation yake iliyofanyika Baobab Secondary School Bagamoyo Tanzania. Fauzia amemaliza kidato cha nne katika shule hiyo na  Ny Ebra alikuwa mmoja kati ya wazazi wanaosomesha watoto wao kwenye shule hiyo, na ndiyo maana alifanya kila liwezekanalo kuweza kuudhuria siku hii muhim kwa mtoto wake kipenzi cha moyo wake kwani nijukumu lake kama mzazi anaetambua umuhim wa elimu kwa mtoto hasa wa kike. Hapa Fauzia akionyesha emotion baada ya kumuona baba yake kwani akutegemea kama angeweza kuudhuria siku hii muhim kwake.

Hapa Ny Ebra akimpa hug mtoto wake kwenye mahafali hayo yaliyofanyika kwenye viunga vya shule hiyo ya Baobab.

Hapa Ny Ebra akitaniana na mtoto wake wakati wa kulishana cake ni zaidi ya marafiki kuliko baba na mtoto kwa picha zaidi nenda soma zaidi.

Fauzia akimlisha baba yake kipande cha cake




Fauzia akipata ukodak na Ankal wake Nyalus



Fauzia akimlisha kipande cha cake Ankal wake Bakary
Ukodak na familia


Ny Ebra akipata ukodak na marafiki wa mtoto wake



No comments:

Post a Comment