Monday, November 17, 2014

HARAMBEE YA RASHID MKAKILE SILVER SPRING, MARYLAND

Jojo kushoto akimsikiliza Katule wakati akipatiwa maelekezo kwenye harambee ya ya kusaidia gharama za matibabu ya rafiki, ndugu, jamaa na mpndwa wetu Rashid Mkakile aliyeugua akiwa kikazi Boston, Massachusetts na kupelekea kufanyiwa upasuaji. Harambee ilifanyika siku ya Jumampili Novemba 16, 2014 na kuhudhuriwa na Watanzania wa DMV waliomfahamu na walioguswa na mpendwa wetu, ndugu yetu, jamaa yetu na Mtanzania mwenzetu Rashid Mkakile mpaka Vijimambo inaondoka kwenye tukio, harambee ilikua inaendelea.
 Mshereheshaji Tuma akiendesha mnada wa kukusanya pesa kwenye harambee ya Rashid Mkakile iliyofanyika Jumapili Novemba 16, 2014 Silver Spring, Maryland nchini Marekani.
Mayor Mlima akielezea historia fupi ya Rashid Mkakile, jinsi gani alivyofikwa na ugonjwa na maendeleo yake mpaka sasa.
Mshereheshaji Tuma akijadili jambo na Katibu wa Jumuiya ya Watanzania DMV, bwn. Said Mwamende.
Mnada ukiendelea
 Watanzania waliojitokeza wakifuatilia mnada

No comments:

Post a Comment