Monday, December 1, 2014

Misa ya Thanksgiving yafanyika Baltimore, Maryland

--
Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini Marekani Mhe. Liberata Mulamula akiwasili Kanisani hapo kwenye misa la thanksgiving iliyofanyika leo Jumapili Novemba 30, 2014 Baltimore, Maryland nchini Marekani
Padri Honest Munishi akiongoza Misa ya Thanksgiving iliyofanyika leo Jumampili Nivemba 30, 2014 Baltimore, Maryland.


Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini Marekani mhe. Liberata Mulamula akitoa shukurani zake kwa mapadri waliongoza misa ya Thanksgiving na kusisitiza umoja kwenye misa iliyofanyika leo Baltimore, Maryland nchini Marekani.


Balozi Liberata Mulamula akiwa pamoja na mke wa colonel Muatta wakifuatilia Misa

Colnel Adolph Mutaa ni mwambata wa jeshi ubalozi wa Tanzania nchini Marekani.

kwa picha zaidi bofya soma zaidi

No comments:

Post a Comment