Sunday, December 21, 2014

THC 1st Gala Dinner yafanyika Houston

Jumuiya ya Watanzania usiku wa jana ilifanya Dinner Gala ya kukata na shoka katika Ukumbi wa Safari Texas Ranch. Mgeni rasmi katika Dinner hiyo iliyohudhuriwa na idadi kubwa wa Watanzania kutoka nje na ndani jiji la Houston alikuwa ni Sheriff wa Harris County Adrian Garcia.
Pata picha za shughuli hiyo hapa chini.

Sheriff Garcia akiwa na wenyeji wake kutoka kushoto Mahono, Katibu Nkunga, Monica,
Madam President Nuru Mazora,Mrs.Garcia,Mama Tenende na Mzee Tenende

Sheriff Garcia akipata selfie na wenyeji wake

Madam President Nuru Mazora akiwa na Sheriff Garcia

Garcia, Tenende and Nkunga
Team ya Uongozi wa THC kwenye picha ya pamoja

Wana Houston

Mkurugenzi mteule wa TPDC Dr James Mataragio (wa pili kutoka kulia) akiwa na wadau wa Houston

Madam President wa THC akiwa na Mrs.Garcia


Rahim Chomba akiwa na Shasha

Drew & Wash Drew

No comments:

Post a Comment