Tuesday, February 17, 2015

Valentine's Party (JIACHIE NIGHT) Ndani ya Houston, Texas

Usiku wa  Jiache Night ulioletwa na BongoKlan Entertainment siku ya Valentine utakuwa ni usiku wa kukumbukwa kwa wakazi wengi wa jiji la Houston, TX. Party la nguvu lilidondoshwa likiendana na Muziki mkali kutoka kwa Bombastic Sound wakiongozwa na Dj.Isser. Pata picha za tukio hilo .No comments:

Post a Comment