Sunday, March 15, 2015

PAZI Reunion Houston 2015 Basketball Bonanza lafana

Ile siku iliyokuwa inasubiriwa kwa hamu na Watanzania wa Houston na vitongoji vyake ilifana jumamosi ya leo baada ya kushuhudia vipaji vya wakongwe na vijana wa baadaye katika tasnia ya mpira wa kikapu wakichuana katika mechi mbalimbali. Pazi Reunion Bonanza ilihitimishwa na mtanange wa kukata na shoka kati ya Tanzania na Gabon ambapo wenyeji Tanzania waliwachapa Gabon 64-57. Pata picha za tukio hilo hapa chini.

Team Tanzania

Martin, Prosper, Frank , Jenga & Evans

Mashabiki wa Houston kwenye Bonanza

Captain Peter Bategeki

Richard na mdau

Magoha
No comments:

Post a Comment