Saturday, April 11, 2015

MKUTANO NA TAMASHA LA CHAUKIDU... Mzee Ali Hassan Mwinyi Mgeni Rasmi

MKUTANO KUANZA ASUBUHI, HOWARD UNIVERSITY (9:00AM-5:00PM)  NA TAMASHA JIONI HOLLYWOOD BALLROOM (7:00PM-12:00 AM))
Njoo ujumuike na wapenzi wa Lugha ya Kiswahili na kupata chakula cha Kiafrika, vinywaji, burudani ya muziki kutoka kwa gwiji Master DJ Luke na maonyesho kadhaa ya wasanii, wakiwemo Anna Mwalagho na AJ Ubao, katika Tamasha la kipekee Washington DC, April 23, 2015.
Nunua tiketi yako mapema kwa kutembelea Tovuti ya CHAUKIDU < www.chaukidu.org> au piga simu namba 301-433-3411 (Tumaini),301-793-2833 (Asha) na 202-830-6555 (Dr. Magembe) kununua tiketi yako mkononi.

Rais Mstaafu Ali Hassan MwinyiTIKETI HAZITAUZWA MLANGONI.

No comments:

Post a Comment