Monday, May 18, 2015

Maombi ya Passport mpya za Tanzania

Jumuiya inapenda kuwatangazia watanzania wa eneo la 'Washington State' na maeneo ya Idaho, Oregon.
kujiandikisha kwa wingi wale wote wenye kuhitaji kuomba PASSPORT MPYA YA TANZANIA kama ifuatavyo:
Siku ya mwisho kujiandikisha ni Tarehe 5/6/2015 (June 5th, 2015)
Siku ya kuonana na Ofisa wa Uhamiaji kutoka Ubalozi wa Jamuhuri ya Mungano wa Tanzania kwa ajili ya maombi hayo ni Tarehe 26/6/2015 - Taarifa ya pahala itatolewa rasmi..
Tafadhali wasiliana na wafuatao kujiandikisha rasmi:
Emil Muta - Mwenyekiti Tanzaseattle - simu - 206 291 8835
Haji Rajab Haji - Katibu Tanzaseattle - 206 302 9404


Au
Unaweza kutuma barua pepe (email) - Tanzaseattle @gmail.com
-
Ahsanteni sana.
Mkuu wa Kitengo cha Habari - Tanzaseattle.
A. DOLA - aka (Mayor of Seattle) - 206 422 3050.

No comments:

Post a Comment