Saturday, November 28, 2015

Thanksgiving Party 2015 Houston Texas : Day 1

Siku ya Ijumaa ya Tarehe 27/11 Jumuiya ya WaTanzania waishio katika Jiji la Houston , Texas ilifanya Party ya kukata na shoka ya Thanksgiving iliyohudhuriwa na wageni mbalimbali kutoka States zote za Marekani. Pata picha za tukio hilo kutoka kwa kamera ya Blo hii

Beautiful ladies from HTown
Atlanta Connection in HTown
Htown sisters Shannie, Mwate & Azzie
DJ Issa na wageni

Young blood
Brother Drew Sanga404
Mr.Ndejembi & Oscar Nindi

No comments:

Post a Comment