Leo tumekupoteza rafiki kipenzi Andrew Nicky Sanga, Ingawa tulikupenda kama wanadamu lakini naamini Mungu baba wa mbinguni amekupenda zaidi. Nashukuru Mungu kuwa nilibahatika kufurahia matukio kadhaa ya maisha yako na kuyaweka kumbukumbu kwa kutumia kamera yangu. Rest in Peace Drew, you will truly be missed
Andrew Nicky Sanga aka Drew |
Drew Sanga
|
Drew na marafiki zake |
Drew na marafiki |
Dsquad
|
No comments:
Post a Comment