Tuesday, June 28, 2016

MINDI KASIGA AKAMATA NONDOZ

Mindi Kasiga, Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano ya Serikali kwa Umma, Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki akipokea Shahada ya Uzamili ya Diplomasia kwenye upande wa Usuluhishi wa Migogoro kutoka Chuo Kikuu cha Norwich kilichopo Northfield, Vermont Marekani.
Mindi Kasiga akipata picha ya kumbukumbu na mama yake Mama Christine Kasiga
\

Mindi Kasiga akiwa katika picha na mwanae Amara Tarimo
Mindi Kasiga akiwa na wanachuo wenzake baada ya kukamata nondoz

No comments:

Post a Comment