Wednesday, January 4, 2017

MKESHA WA MWAKA MPYA DMV ILIKUA BALAA MTU NYOMIIII

Farida Catering na machezo yake ya Happy New Year siku ya mkesha wa mwaka mpya Desemb 31, 2016 kuamkia mwaka mpya 2017 mnuso wa nguvu uliofanyika Hampton Conference center Capitol Heights, Maryland nchini Marekani.
Joha Nyang'anyi mmoja ya wandaaji wa mnuso wa kukata na shoka wa DMV akiongea machache na kuwakaribisha WaTanzania DMV na marafiki zao kwenye mkesha wa mwaka mpya 2017.

WaTanzania wa DMV na marafiki zao wakijumuika pamoja kwenye mkesha wa mwaka mpya siku ya Jumamosi Desemba 31, 2016 kwenye ukumbi wa Hampton Conference Center Capitol Heights, Maryland nchini Marekani mnuso ulioacha gumzo mtaani.

WaTanzania wa DMV na marafiki zao wakila bata kwenye mkesha wa mwaka mpya mnuso wa nguvu uliofanyika Capitol Heights, Maryland nchini Marekani.

Kushoto ni JB mmoja wa wadhamini wa mnuso wa DMV akilonga mawili matatu na chifu wa Uluguru Bwn. Mayanga.

WaTanzania wa DMV na marafiki zao wakijumuika pamoja kwenye mnuso wa nguvu wa mwaka mpya. Picha kwa hisani ya Mayor Mlima. Kwa picha zaidi bofya soma zaidi

No comments:

Post a Comment