Sunday, February 12, 2017

REHEMA NA NKAINA WA WAMEREMETA

Bwana na Bibi harusi wakinyanyua mikono kuashiria sasa wao ni kitu kimoja siku ya ndoa yao iliyofanyika Miami, Florida siku ya Jumamosi, Nkaina na Rehema ni wakazi wa Dallas, Texas.
Bwana na Bi Harusi wakiwa wenye furaha tele.
Picha ya pamoja
Bwana Harusi na Bibi harusi wakiwa katika picha ya pamoja na wapambe wao

No comments:

Post a Comment