Tuesday, November 28, 2017

BURUNDI YABEBA NDOO YA THANKSGIVING HOUSTON, TEXAS, NYAMA CHOMA USIPIME

Makombe ya mshindi wa kwanza na mshindi wa pili yakiwa tayari kwenye michuano ya Thanksgiving Houston, Texas.
Timu ya Burudi kutoka Arizona wakifurahia ushindi wa kwanza baada ya kuwafunga Atlanta kwenye mechi ya fainali
Washindi wa pili Atlanta wakiwa na kombe lao baada ya kupoteza mechi ya fainali na Burundi

 Timu ya Burundi

Timu ya Tanzanite FC kutoka Atlanta, Georgia

Kwa picha zaidi bofya soma zaidi

Timu ya wakubwa ya Houston ilitolewa kwenye mechi za mwanzo za makundi
Timu ya Dallas ilitolewa na Tanzanite ya Atlanta kwenye mechi ya nusu fainali
 Timu ya vijana ya Houston ilitolewa kwenye mechi za mwanzo za makundi


Stars United ilitolewa kwenye mechi ya nusu fainali na Burundi
Housto Dsquad vs Stars United
Dallas FC vs Tanzanite FC


Picha juu na chini ni nyama choma iliyofanyikauwanjani hapo wakati
michuano ya mpira wa miguu ikiendelea


No comments:

Post a Comment