Sunday, December 8, 2019

TANZANIA HOUSTON COMMUNITY Presents: 2019 THANKSGIVING GALA NIGHT

Jumuiya ya Watanzania waishio katika Jiji la Houston lililoko katika Jimbo la Texas nchini Marekani mwishoni mwa wiki ilifanya Thanksgiving Gala Night 2019 ya kukata na shoka katika ukumbi wa The Elegance Banquet ulioko katika makutano ya barabara za Westheimer na Highway 6. Party hiyo ilihudhuriwa na wadau kutoka sehemu mbalimbali nchini Marekani. Pata picha za tukio hilo zilinazoletwa kwenu kwa hisani ya BIG ONE Studio.

THC President Mr Lambert Mulokozi Tibaigana "LBT"


No comments:

Post a Comment