Monday, July 4, 2022

4th OF JULY NYAMA CHOMA BASH PRESENTED BY THE THC GENTLEMEN CLUB

  Jumuiya ya Watanzania wanaoishi katika Jiji la Houston, Texas na vitongoji vyake jioni ya jana katika viwanja vya mapumziko vya Cullen walifanya party ya nyama choma (BBQ Party) ya kukata na shoka katika sherehe za maadhimisho ya uhuru wa taifa la Marekani. Party hivyo ilifanyika kwa udhamini wa club ya wakinababa wa Jumuiya . Pata picha nzuri za tukio hilo.

No comments:

Post a Comment