Sunday, August 14, 2022

BACK2SCHOOL BBQ BASH PRESENTED BY THE THC GENTLEMEN CLUB

  Jumuiya ya Watanzania wanaoishi katika Jiji la Houston, Texas na vitongoji vyake jioni ya jana tarehe 13 August 2022 katika viwanja vya mapumziko vya Cullen walifanya party ya nyama choma (Back2School BBQ Party) . Party hiyo maalumu kwa ajili ya kuukaribisha mwaka mpya wa shule kwa watoto wetu ilifanyika kwa udhamini wa club ya wakinababa wa Jumuiya (THC GENTLEMEN CLUB) . Pata picha nzuri za tukio hilo.


No comments:

Post a Comment