Tuesday, October 1, 2024

WADAU WA UTALII WAKUTANA FARAGHA KWENYE KONGAMANO LA DIASPORA AUSTIN, TEXAS

 

Jopo la utalii likiongoza kikao na wadau wa utalii na kutoa elimu ya njia mbalimbali za  jinsi ya kukuza utalii Tanzania. Kikao hicho kilitenga chumba maalum kuzungumzia swala hilo siku ya Jumamosi Septemba 28, 2024 Austin, Texas kwenye resort ya Kalahari. Picha zaote na Vijimambo
Wadau wa utalii wakifuatilia kikao.

No comments:

Post a Comment