Thursday, March 8, 2012

SIMBA 3-1 KAGERA SUGAR

Mabao mawili yaliyofungwa na Kiungo Patrick Mafisango na Mshambuliaji Emma Okwi "Balotelli" yalitosha kupeleka kilio kwa wakata miwa wa Kagera Sugar.

Kwa ushindi huo Simba SC imezidi kujikita kileleni mwa Ligi Kuu ya VODACOM

No comments:

Post a Comment