Wednesday, March 14, 2012

VIJIMAMBO'S 2 YEARS ANNIVERSARY SOCCER TOURNAMENT,MARCH 31, 2012 TIMU SASA KUWA SITA


DC NYARUGUSU(WAZEE WA DOZI) FROM DC
HOUSTON (SERENGETI BOYZ) FROM TEXAS
BURUNDI FROM ARIZONA
STARS UNITED

VITAMBI FC

TANZANITE FROM ATLANTA GA
Mechi sasa zitaanza kuchezwa kuanzia saa 4 asubuhi hadi saa 12 jioni timu zote zinatakiwa kufika siku ya Ijumaa March 30, 2012 nimatumaini ya Vijimambo timu zote zitafanya hivyo, kama kuna mabadiliko tafadhali toa taarifa mapema. mechi zitachezewa uwanja wa Walker Mill  Turf Field uliopo
8000 Walker Mill Road,
Capitol Heights, MD 20747
timu zote zinatakiwa ziwe uwanjani saa 3 asubuhi

No comments:

Post a Comment