Ligi kuu ya Vodacom Tanzania Bara imeendelea hii leo kwenye viwanja viwili,jijini Dar es Salaam mabingwa watetezi wa ligi hiyo Yanga imeifunga African Lyon bao 1:0 kwa bao la Kigi Makassy.
Huko mkoani Dodoma, Simba imefanikiwa kuifunga Polisi ya mjini humo bao 1:0 bao la ushindi la Simba limefungwa na kiungo Patrick Mutesa Mafisango.
No comments:
Post a Comment