Sunday, April 15, 2012

TZ-Houston yaichakaza Egypt 6-1 kwenye michuano ya Africa

Timu ya Tanzania-Houston jana katika viwanja vya Killough High School - Synott ilitembeza kipigo cha mbwa mwizi kwa timu ya Egypt.Ikiongozwa na washambuliaji wenye uchu Bitebo na Peter Bategeki waliwafanya waarabu waombe dakika 90 zimalizike haraka ili dhahama iwaepuke.

Blog hii inawapa hongera sana wachezaji wote kwa kutoa kipigo hicho.Next is Cameroon2

2 comments: