SHOMARI KAPOMBE AIBUKA MCHEZAJI BORA WA 2011 TUZO ZA (TASWA) DIAMOND JUBILEE
Mzee Ali Hassan Mwinyi akizungumza na kutoa nasaha zake katika utozji wa tuzo hizo. |
Mkurugenzi wa Mawasiliano Kampuni ya bia ya Serengeti SBL Teddy Mapunda akitoa shukurani zake mara baada ya kukamilika kwa utoaji wa tuzo hiyo usiku wa kuamkia leo. |
Mkurugenzi wa Shirika la Utangazaji la Zanzibar ZBC Omar Said Ameir akikabidhi tuzo ya mchezaji bora wa Tanzania katika soka Agrey Morris katika hafla hiyo. |
Mchezaji wa zamani wa timu ya Coast Union ya Tanga na Timu ya taifa Salim Amir akikabidhi tuzo kwa mchezaji Shomari Kapombe |
Mpiga picha wa siku nyingi Athmani Hamisi akikabidhi tuzo kwa mchezaji bora wa kiume katika mchezo wa VoliboMbwana Ally huku akisaidiwa na msaidizi wake |
Mwenyekiti wa kamati ya Tuzo za TASWA Masoud Saanane akizungumza katika hafla ya utozi wa tuzo hizo usiku huu kwenye ukumbi wa Diamond Jubilee. |
Mkurugenzi wa kampuni ya bia ya Serengeti Bw. Richard Wells akizungumza katika hafla ya utoaji wa tuzo za mwanamichezo bora wa Tanzania. |
Kocha mkuu wa timu ya Taifa ya Tanzania Taifa Stars Kim Paulsen akikabidhi tuzo ya mwanamichezo bora wa Olimpiki Maalum Heri Suleiman |
Mzee Ali Hassan Mwinyi akifurahia jambo wakati alipokuwa akimsikiliza mwenyekiti wa kamati ya Tuzo za TASWA Masoud Saanane katikati ni mwenyekiti wa TASWA Juma Pinto |
Mkurugenzi wa Radio Times Rehuru Nyaulawa akimkabidhi tuzo yake mshindi wa tuzo ya mchezo wa Wavu wanawake Evodia Kazinja. |
Mwenyekiti wa TASWA akimkabidhi tuzo yake mchezaji bora wa mchezo wa Netiboli Lilian Sylidion kutoka kutoka Shule ya Filbert Bayi. |
Wadau kutoka Serengeti wakiwa katika hafla hiyo ya utoaji wa tuzo hizo. |
Mkurugenzi wa kampuni ya bia ya Serengeti Bw. Richard Wells akijadili jambo na Mkurugenzi wa Mawasiliano wa KampunihiyoTeddy Mapunda katika hafla hiyo |
Mkurugenzi wa Radio One na mtangazaji wa ITV Deo Rweyunga akiwa kazini pamoja na mtangazaji mwenzake Fatma Nyangasa katika hafla ya tuzo za mwanamichezo bora usiku huu. |
Wadau mbalimbali na waandishi wa habari |
Makamu Mwenyekiti wa Simba na Geofrey Nyange katikati akiwa katizo hafla hiyo kulia ni Jamal Rwambo mdau mkubwa wa michezo na kushoto ni Maulid Kitenge Makamu Mwenyekiti wa TASWA |
Mdau Emmanuel na maiwaifiu wake kushoto pamoja na mdau mdau wa masumbwi uena Kibena |
No comments:
Post a Comment